Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Wafanyakazi Wagoma Wataka Mishahara Mipya

Wafanyakazi zaidi ya 300 wa Kiwanda cha Lodhia kilichopo mkoani Arusha wamegoma kufanyakazi hii leo kwa kile walichodai kulipwa mshahara mdogo kinyume cha agizo la Serikali la kima cha chini cha mshahara cha shilingi 350,000 ambacho kilitangazwa kianze kutumika januari mwaka huu.

Kwa mujibu wa Wafanyakazi hao wameeleza kuwa wamekuwa wakilipwa kiasi cha shilingi laki mbili na wakiwa nje ya Geti la kampuni hiyo hii leo walizuia gari la Serikali kutoka Idara ya Kazi lililofika Kiwandani hapo kwa ajili ya kuwasikiliza na kutaka lisiingie ndani bali wasikilizwe nje ya Kiwanda na kisha changamoto hiyo itatuliwe.

 

 

Chanzo; Millard Ayo

Kuhusiana na mada hii: