Wakili wa CHADEMA, Dkt.Rugemeleza Nshala amezungumzia ushahidi wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na yale yaliyotokea ndani ya Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es Salaam.
Dkt.Nshala amezungumza hayo nje ya mahakama baada ya kuahirishwa kwa kesi hiyo hadi February 13, 2026 kwa ajili ya kuendelea na hatua ya shahidi.
Chanzo; Millard Ayo