Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na Wakala Binafsi wa Ajira, Almah Travel and Tours Company Limited inapenda kuwakaribisha Watanzania wenye sifa kutuma maombi kwa ajili ya kujaza nafasi 1,150 za fursa za udereva zilizotangazwa na kampuni ya MOWASALAT ya nchini Qatar.
Tuma maombi kwa njia ya email kwenda:
almaharecruitment696@gmail.com
au info@almaha.co.tz
Ukituma maombi, jisajiri kupitia www.jobs.go.tz
Kwa maelezo zaidi, piga simu namba:
0787819081
0655819081
0783582328.
Chanzo; Tanzania Journal