Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemwagia nasaha Waziri Mkuu mpya Dkt. Mwigulu Nchemba, wakati wakumtakia heri njema ya majukumu huku akimuasa kuwa nafasi hiyo niyakulitumikia taifa.
Ameyasema hayo Leo Novemba 14,205, Jiji Dodoma kwenye shughuli za uapisho wa Waziri Mkuu ambaye aliteuliwa Novemba 13,2025
Ambapo amesema “Tukutakie kazi njema mzigo huu sio mdogo kwa umri wako mzigo huu ni mkubwa, vishawishi ni vingi vya marafiki, ndugu.”
“Nafasi yako haina rafiki, ndugu, jamaa ni nafasi ya kulitumikia taifa.” - Rais Samia
Chanzo; Tanzania Journal