Jibu la Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro kuhusu video zinazosambaa mtandaoni na zinazoonyesha mauaji ya watu kufuatia maandamano yaliyotokea Tanzania kwenye siku ya uchaguzi Tanzania, Oktoba 29 na baada.
Zaidi, Kamanda Muliro amesema video nyingi za matukio kama haya ikiwemo ile daraja ya Selander watu kukatwa vichwa na mpanga pia ajari ya Kimara ambayo ilionyesha watu kuopasuka vichwa zilifatiliwa nakufichuka kuwa si za kweli.
Chanzo; Dw