Licha ya Serikali kutumia zaidi ya Sh50 bilioni kujenga Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli, bado mabasi hayo yanaendelea kushusha na kupakia abiria nje ya kituo na hivyo kukikosesha mapato.
Kufuatia hali hiyo, Serikali imeunda timu maalumu ya wataalamu itakayofanya tathmini ya kina ya uendeshaji wa stendi hiyo, itakayofanya kazi kwa siku 90.
Chanzo; Mwananchi