Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Mawaziri Wakuu 12 Waliowahi Pita Kwenye Nafasi Hiyo Tanzania

Tangu Tanzania tulivyopata Uhuru mwaka 1961 na hii ndiyo orodha ya Mawaziri wakuu waliowahi kushika nafasi hii.

1. Mhe. Julius Kambarage Nyerere 1961 hadi 1962


2. Mhe. Rashid Mfaume Kawawa 1962 hadi 1977


3. Mhe. Edward Moringe Sokoine 1977 hadi 1980 na 1983 hadi 1084


4. Dkt. Salim Ahmed Salim 1984 hadi 85
5. Mhe. Joseph Sinde Warioba 1985 hadi 1990
6. Mhe. John Samwel Malecela 1990 hadi 1994
7. Mhe. Cleopa David Msuya 1980 hadi 1983 na 1994 hadi 1995
8. Mhe. Fredrick Tluway Sumaye 1995 hadi 2005
9. Mhe. Edward Ngoyai Lowassa 2005 hadi 2008
10. Mhe. Mizengo Peter Pinda 2008 hadi 2015
11. Mhe. Kassim Majaliwa Kassim 2015 hadi 2025
12. Mhe. Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba 2025

 

Chanzo; Clouds Media

Kuhusiana na mada hii: