Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Basi Lagongana na Roli Uso kwa Uso Shinyanga

Ajali imetokea asubuhi ya leo Januari 27, 2026 majira ya saa 12:00 asubuhi, katika eneo la Mnadani, Kata ya Tinde, Halmashauri ya Shinyanga mkoani Shinyanga.

Ajali hiyo imehusisha basi la abiria la Kampuni ya KISILE lenye namba za usajili T 229 EEL, lililokuwa likitoka Kahama kuelekea Mwanza, kugongana uso kwa uso na lori la mizigo lililokuwa limebeba shehena ya mchele kutoka Dar es Salaam kwenda Rwanda.

Taarifa zinaeleza kuwa juhudi za uokoaji zinaendelea huku vyombo vya usalama vikiendelea na uchunguzi wa chanzo cha ajali hiyo.

 

 

Chanzo; Itv

Kuhusiana na mada hii: