Baada ya kuwepo kwa uvumi unaodai kuwa raia Wakitanzania waliopo njee ya nchi ya wafikapo Tanzania hunyang’anywa pasipoti na fedha kisha kupelekwa Dodoma kwa mahojiano.
Wizara ya Mambo ya Ndani, Idara ya Uhamiaji ya kanusha taarifa hizo Novemba 11,2025 huku ikitaka watu kuzipuuza taarifa hizo.
“Taarifa hizo ni uzushi wenye lengo la kupotosha umma na kuleta na kuleta taharuki kwa jamii. Hivyo, wataanzania wanaaswa kuzipuuza.”

Chanzo: Tanzania Journal