Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Wadakwa na Kete 420 za Dawa za Kulevya na Kilo Tisa za Bangi

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu watatu wakazi wa Mbinga kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya haramu ya dawa za kulevya.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa, SACP Marco Chilya, amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Hashim Japhary, Zidadu Mbawala, na Justine Salufu, ambao walikamatwa wakiwa na kete 420 za dawa za kulevya pamoja na kilo tisa za bangi.

 

 

 

Chanzo; Itv

Kuhusiana na mada hii: