Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Tanzania Kwenye Ramani ya Dunia Ukuaji wa Teknolojia

Wakati tunaendelea kuyashuhudia makubwa ya teknolojia yanayozidi kuchukua nafasi kurahisisha maisha ya binadamu kila iitwayo leo, usisahau nafasi ya uwezo wa akili na uvumbuzi wa vijana wa kitanzania katika ukuaji huo.

Kwenye mengi ambayo tayari tumeyashuhudia pngeza na hili la mtanzania Anwar Rugaza ambaye ni Mkurugenzi na Mwanzilishi wa kampuni ya Instant Pay ambayo leo imefikia makubaliano ya kimkakati na kampuni kubwa Duniani ya Master Card katika kurahisisha mchakato wa malipo ya kidigitali.

Ushirikiano huu uliofanyika Feb 25,2026 katika makao makuu ya kampuni ya Instant Pay yaliopo Morocco Dar es Salaam, ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Anwary Issa na Senior Vice President and Country Manager - East Africa Master Card Shehryar Ali, umeashiria hatua muhimu katika kuimarisha uchumi unaotegemea mifumo ya
malipo ya kisasa kwa kuongeza ufanisi, uwazi na upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wananchi na taasisi.

 

Chanzo; Clouds Media

Kuhusiana na mada hii: