akili Peter Kibatala akifafanua kwa kina mashtaka yanayomkabili mfanyabiashara Jennifer Jovial almaarufu Niffer, ambaye amefikishwa Mhakama ya Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, Novemba 7,2025.
“Niffer pekee yake ameshitakiwa kwa kutenda uhaini kwa sababu aliwahamasisha watu wanunue barakoa ili kujilinda na mabomu ya machozi.” - Wakili Peter Kibala akiwe wazi kwa mujibu wa hati ya mashitaka
Chanzo; Global Publishers