Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Elia juma msabaha ambaye ni mfanyabiashara wa viazi mwenye umri wa miaka 27 Mzaliwa kata ya Lemara Mkoa wa Arusha ameuawa Mkoani Njombe wilaya ya Makete na dalali Halfani Mbilinyi nakumfukia chini nyumbani kwake huku chanzo ni tamaa ya fedha baada ya kumuona akiwa na shilingi million tisa na nusu za biashara
Elisa juma msabaha ambaye ni pacha wa marehemu amesema kuwa walimtafuta ndugu yao kwa zaidi ya mwezi mmoja bila mafanikio ambapo baada ya jeshi la polisi kufanya uchunguzi walibaini kuwa ameuawa
Hata hivyo ndugu wameomba uchunguzi wa kina ufanyike ili hatua za kisheria ziweze kuchukukiwa kwa mtuhumiwa kwa kuwa imeelezwa kuwa kuna watuhumiwa wengine wamekimbia.
Chazo: Millard Ayo