Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limetoa tamko mara baada vidio iliyosambaa kwenye mitandao ambapo Askari mmoja mwenye cheo cha Kapteni, kwa jina John Charles Tesha alionekana akitoa wito kwa jeshi kuchukua udhibiti wa nchi na kuzuwia uchaguzi. Mskilize Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa JWTZ Kanali Bernard Masala Mlunga.
Chanzo; Dw