Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Hali ya Usalama Afrika ni Mbaya, Asema Waziri Mambo ya Njee

Waziri wa Mambo ya nje ya Tanzania Mahmoud Thabit Kombo amesema moja ya ajenda ambazo zimejadiliwa katika mkutano wa 39 wa Umoja wa Afrika ni hali ya usalama katika bara la Afrika na kwa pamoja wamekubaliana kuwa hali ya usalama si nzuri.

Waziri kombo amesema sababu zinazochangia Afrika kuwa na hali mbaya ya Usalama ni pamoja na Migogoro ambayo inazidi kuongezeka.

 

 

 

Chanzo; Crown Media

Kuhusiana na mada hii: