Zaidi ya nyumba mia nne katika Vijiji vinne vilivyopo Kata ya Msangano, wilayani Momba, mkoani Songwe, zimezingirwa na maji baada ya Mto Nkana, kufurika na maji yake kuelekea kwenye nyumba hizo na kusomba mazao, huku baadhi ya wakazi wakilazimika kuyakimbia makazi yao baada ya nyumba zao kujaa maji.
Chanzo; Itv