Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, amesimulia namna alivyonusurika kupoteza ubunge wake baada ya kufunguliwa kesi ya rushwa na aliyekuwa mpinzani wake.
Dk Nchimbi amesimulia kisa hicho leo Jumatatu, Februari 2, 2026 alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma.
Chanzo; Mwananchi