Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Padri Anayedaiwa Kutekwa Apatikana, Alijiteka

Padri a jimbo katoloki la Mafinga aliyefahamika kwa jina la Jordan Kibiki ambaye alidaiwa kusambaza taarifa kupitia mtandao wa WhatsApp kuwa ametekwa na watu walio na Bastola ambao walikuwa wakimpeleka Mbeya anadaiwa kukutwa eneo la Mbalizi mkoani Mbeya.

Taarifa ya kupatikana kwake imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa SACP Allan Bukumbi mapema leo hii septemba 24, 2025 wakati akizungumza na vyombo vya Habari ofisi kwake.

Kwamujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda Bukumbi anasema uchunguzi umebaini Padre huyo anakabiliwa na madeni makubwa baada ya kukopa fedha kutoka kwa watu mbalimbali na kushindwa kuzirudisha.

 

Chanzo: Wasafi

Kuhusiana na mada hii: