Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amemwambia Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho, John Heche, “njoo unitembelee bana, ujee” wakati wakizungumza mahakamani leo.
Kauli hiyo ilitolewa mara baada ya kesi inayomkabili Lissu kuahirishwa hadi kesho, huku viongozi hao wakionekana kubadilishana maneno kwa hali ya kawaida wakati wa kuondoka mahakamani.
Chanzo; Itv