Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.\
“Kama kuna mtu yeyote hamuoni ndugu yake afike kituo cha polisi. Polisi itamsaidia kutafuta ndugu zake.” Chalamila
Chanzo; Global Publishers