Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert ametoa wito kwa wananchi kujenga desturi ya kawaida ya kufuatilia sheria na miongozo mbalimbali iliyopo nchini ili kuepuka matatizo yasiyokuwa ya lazima
Wito huo ameutoa leo umatano Januari 07, 2026 akiwa Kunduchi, Dar es Salaam alipokwenda kutatua mgogoro wa ardhi siku moja baada ya raia wa Kichina kukamatwa na mabilioni ya fedha huko Oysterbay, jijini Dar es Salaam, kufuatia kuonekana kwa picha mjongeo iliyosambaa mitandaoni ikimwonesha akiwa na fedha hizo.
Chanzo; Eatv