atu sita wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Ulamba, Kata ya Kalunde wilayani Tabora, wamenusurika kifo baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kubwa ,iliyokuwa ikinyesha usiku wa kuamkia leo wilayani hapo, hali iliyowasababishia majeraha katika sehemu mbalimbali za miili yao, huku nyumba yao ikiteketea kwa moto uliotokana na radi hiyo, ambapo wananchi wametangaziwa mchango wa kuwasaidia waathirika hao.
Chanzo; Itv