Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Jackson Mollel, maarufu kama Chege, mkazi wa Mtaa wa Simanjiro, Kata ya Sombetini jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga ndani ya makazi yake kwa kutumia kamba.
Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wamesema walipokea taarifa za kifo hicho kwa mshtuko, huku sababu za tukio hilo zikiwa bado hazijafahamika.
Chanzo; Eatv