Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Tume ya Vurugu za Uchaguzi Yazuwia Waandishi wa Habari

Tume huru ya uchunguzi wa vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania, imezuia wanahabari kushiriki katika mahojiano yanayofanywa kati ya tume hiyo na waathirika wa vurugu, ikisema kuchapishwa kwa taarifa zao kunachagiza msongo wa mawazo.

Kwa mujibu wa tume hiyo, hatua hii imechukuliwa baada ya kuibuka kwa malalamiko kuwa taarifa binafsi za waathirika zinasambazwa mitandaoni bila ridhaa yao.

 

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: