Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu leo wakati wa mapumziko akiwa katika chumba cha Mahakama Jijini Dar es salaam, amelalamikia kitendo cha kunyimwa chakula kitendo kilichowafanya baadhi ya Wafuasi wa CHADEMA kuangua kilio Mahakamani hapo.
Lissu alieleza hayo akiwa kizimbani tayari kuendelea na Shahidi wa pili wa Jamhuri hali iliyosababisha Wafuasi wa CHADEMA ndani ya ukumbi wa Mahakama kuanza kuangua vilio.
Chanzo; Millard Ayo