Mchoraji na mtangazaji maarufu wa Clouds Fm Masoud Kipanya leo katika Mdahalo wa mwenendo wa Uchumi wa awamu ya sita na sekta binafsi na sekta ya Umma katika ujenzi wa uchumi jumuifu amejitokea na kuhoji maswali mazito ikiwa na kuhusu Keki ya Taifa kumegwa na watu wacheche nini kifanyike katika kuzuia hiyo na kupata viongozi ambao watakuwa waadilifu katika Taifa.
Pia ameomba wataalamu wa miradi mbalimbali pamoja na watumishi wa umma kutoa ripoti kwa wakati ili kuondoka Sitofahamu kwa Raia.
Stori hii inapatikana ukurasa wa Bongo 5.