Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Wafanyabiashara Waaswa Kutumia AI, Mtwara

Wafanyabiashara wadogo na wa kati katika Wilaya ya Mtwara wameaswa kutumia akili mnemba (AI) ili kuongeza thamani za bidhaa wanazozalisha, ambayo imenufaisha baadhi ya wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na kupata masoko ya uhakika ndani na nje ya nchi.

Hayo yamejitokeza wakati wa kutoa elimu kwa Wajasiriamali wadogo na wa kati ili kutambua umuhimu wa matumizi ya biashara mtandaoni ikiwa ni pamoja na matumizi akili mnemba.

 

 

Chanzo; Itv

Kuhusiana na mada hii: