Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Hayati Mwinyi Ndiye Rais Pekee Aliyetekeleza Hukumu ya Kifo

"Tunazozungumzia hali ya Taifa letu ikoje kwenye masuala ya hukumu ya kifo bado mahakama zinatoa hukumu lakini utekelezaji wake umekuwa ni takribani miaka 31 tangu mara ya mwisho ilipotekelezeka.

Mara ya mwisho hukumu ya kifo ilitekelezwa na Rais wa Awamu ya Pili, Ally Hassan Mwinyi mwaka 1994. Kuanzia hapo hadi sasa 2025 hukumu hii halijawahi kutekelezeka kwa sababu Rais ndiye mwenye dhamana ya kuweka sahihi ya hao watu wahukumiwe"- Wakili, Elizabeth Majagi, akielezea historia ya uhukumu ya kifo kupitia kipindi cha 360 cha Clouds Tv, Septemba 30,9,2025.

akaendelea kwa kusema nchi yetu hadi hukumu ya kifo inatekelezwa ni mpaka Rais mwenye mamlaka aweze kuweka sahihi lakini mahakama ambayo ina nguvu ya kutoa hukumu hiyo ni Mhakama Kuu ya Tanzania.

 

Chanzo; Clouds Media

Kuhusiana na mada hii: