Mhe. Dotto Biteko, Mhe. Hussein Bashe na Innocent Bashungwa ni baadhi ya Majina ya Majina ya Waliokua kwenye Baraza la Mawaziri Lililopita, Majina Yao hayupo kwenye Baraza Jipya la Mawaziri lililotangazwa Leo na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan .
Chanzo; Wasafi