Baadhi ya wanasiasa vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanapata hifadhi nchini Kenya kwa kuhofia usalama wao baada ya vurugu zilizojiri nchini mwao wakati wa uchaguzi mkuu wa siku chache zilizopita.
Wanasiasa hao wanaurai Umoja wa Mataifa kuingilia kati ili wapate sikio kuepusha kukamatwa na serikali ya Tanzania.
Chanzo; Dw