Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Mtanzania alietelekezwa India Aomba Msaada

Halima Kaisi ni Mtanzania aliyejipata kwenye hali ngumu nchini India baada ya kushawishiwa na mwanaume aliyekuwa mpenzi wake kwamba angemtafutia kazi, lakini baadaye alimtelekeza na kumuacha apambane mwenyewe.
Kwa sasa, Halima anaumwa na amedhoofika sana. Madaktari wamethibitisha kuwa ana matatizo ya figo, hali inayomlazimu kupata matibabu ya haraka.

Anapitia kipindi kigumu, akiwa mbali na familia, bila msaada wa kutosha.
Tunaomba Watanzania wenye kuguswa na hali yake kumsaidia kwa chochote ili aweze kupata matibabu na kurejea katika hali yake ya kawaida.


Unaweza kutuma msaada kupitia:

 Namba ya Simu (Tigo Pesa/M-Pesa/Airtel Money):
0750 202 017 – Joan Machibya

 Akaunti ya Benki (CRDB):
Account Number: 0152287095300
Jina: Joan Machibya

Habari hii imechapishwa kwenye tovuti ya Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: