Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimesema kitawatetea zaidi ya watu 600 waliofikishwa mahakamani kote nchini Tanzania kwa kesi za uhaini. Wakili wa TLS, William Maduhu ameiambia DW.
Kesi hizo zinahusiana na maandamano ya umma yaliyogeuka kuwa vurugu kupinga uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29.
Makundi ya haki za binadamu yanasema "maelfu ya watu pia wameuawa na maafisa wa vyombo vya usalama." Sikiliza sehemu ya ripoti yetu kutokana Dar es Salaam, Tanzania.
Chanzo; Dw