Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 24 Septemba, 2025, lilimkamata Innocent Paul Chuwa, maarufu Kiduku, Mkazi wa Kijichi, Temeke, kwa tuhuma za makosa ya Kimtandao
Hata hivyo,Uchunguzi unakamilishwa na atafikishwa kwenye mamlaka nyingine za kisheria haraka iwezekanavyo.
Zaidi, Jeshi la Polisi limesema, halitasita kumuhoji na kumkamata mtu yeyote anayejihusisha na tuhuma za kihalifu.
Chanzo: Tanzania Journal