Bbc, imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.
AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa.
Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa limeanzisha rasmi uchunguzi wa tuhuma za kutekwa kwa Humphrey Polepole.
Hata hivyo katika taarifa hiyo wameongeza kuwa wanamtafuta ndugu wa Humphrey Polepole, aitwaye Augustino Polepole kuthibitisha tuhuma hizo.
Chanzo; Bbc