Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo. Aidha video hizo zilizosambaa zinaonesha miili ya watu waliopigwa risasi, majeraha katika sehemu mbalimbali za miili, na vikosi vya usalama vikilenga raia wiki ya uchaguzi mkuu nchini humo.
Juhudi za BBC kupata mamlaka kujibu tuhuma zilizomo kwenye ripoti hii hazikufua dafu.
Chanzo; Bbc