Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Vita ya Israel, Marekani Dhidi ya Irani, Afrika Yalaani

Viongozi wa Afrika wameitaka vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran visitishwe mara moja. Viongozi hao wameonya kuwa kuenea kwa mzozo huo katika mataifa mengi ya kanda kunahatarisha kwa kiasi kikubwa amani na usalama wa kimataifa pamoja na Uchumi wa bara.

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: