Katika hali isiyo ya kawaida Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amejikuta akizuiliwa kupita na Polisi katika Jiji la New York kwasababu ya msafara wa Rais wa Marekani Donald Trump.
Chanzo: Bongo 5
We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.