Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Liwalo na Liwe!! Wajitosa Kuchimba Dhahabu Kwenye Zizi la Ng’ombe

Watu wengi wamekimbilia kuchimba dhahabu katika eneo la makazi duni mashariki mwa mji wa Johannesburg, Afrika Kusini, baada ya tangazo kutolewa siku chache zilizopita kuwa kuna dhahabu eneo hilo.

Mkaazi mmoja wa eneo hilo lililoko karibu na eneo la migodi la Springs alisema alipata chembe chembe za dhahabu akiwa analima karibu na zizi la ngombe.

Makumi ya watu sasa wamehamia eneo hilo wakichimba karibu na zizi la ngombe wakiwa na matuamaini ya kutajirika.

Wakiwa wamejihami na mapanga na majembe, wamekuwa wakichambua udongo katika eneo linalofanana na eneo la awali Afrika Kusini ilichimba dhahabu na kujitajirisha mwongo mmoja uliopita

 

 

Chanzo; Nipashe

Kuhusiana na mada hii: