Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema duru mpya ya mazungumzo na Urusi yanatarajiwa mapema Machi huko Abu Dhabi, baada ya maafisa wa Ukraine kukutana na wajumbe wa Marekani mjini Geneva.
Ameeleza kuwa mfumo wa mazungumzo ya pande tatu unaweza kusaidia kuvunja mkwamo.
Urusi imejibu kuwa bado ni mapema kuweka tarehe ya makubaliano, ikisisitiza ina malengo yake ya kutekeleza bila muda maalum.
Chanzo; Dw