Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Magari Yaliyopata Ajali Yatumika Kama Isharaza Barabarani Uturuki

Nchini Uturuki mamlaka za usalama barabarani zimeanza kutumia magari halisi yaliyopata ajali kama onyo kwa madereva kando ya barabara na hatua inayolenga kuongeza umakini na kupunguza ajali.

Tofauti na mabango ya kawaida ya tahadhari mabaki ya ajali huwasilisha ujumbe kwa nguvu zaidi kwa sababu huonyesha athari halisi za uzembe barabarani.

Wataalamu wanasema mbinu hiyo imekuwa na matokeo chanya kwani madereva mara nyingi huzoea alama na mabango ya tahadhari lakini hawazoei kuona matokeo ya ajali yakionyeshwa wazi.

Njia hii imeonekana kubadili mtazamo wa hatari kutoka dhana ya kawaida na kuwa tukio linaloweza kutokea wakati wowote.

 

Chanzo; Bongo 5

Kuhusiana na mada hii: