Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Maudhui ya Uchaguzi Uliopita Yapigwa Marufuku

Mamlaka nchini Uganda zimepiga marufuku vyombo vya habari kurusha au kuchapisha maudhui yanayohusiana na matokeo ya uchaguzi uliofanyika mwezi Januari.

Tangu kumalizika uchaguzi waliokuwa wagombea wamekuwa kwenye vipindi kadhaa vya redio wakielezea kile wanakitaja "udanganyifu ulivyofanyika na pia vurugu za hapa na pale zilizopelekea zoezi hilo kutokuwa la haki, huru na la uwazi."

Hata hivyo Wizara ya Habari na Kamisheni ya Mawasiliano nchini humo zimesema UCC mwenendo huu
unawachochea wananchi kujenga mawazo kwamba wale waliochaguliwa hawakushinda kwa haki.

 

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: