Mshawishi wa mitandao ya kijamii amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutumia zaidi ya shilingi milioni 126 (sawa na dola 49,000) kwa ajili ya sindano za kuongeza ukubwa wa midomo (lip fillers).
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa mtandaoni, mshawishi huyo anadai kuwa midomo yake imevimba kupita kiasi kiasi cha kushindwa kuifunga kikamilifu, hali iliyomletea usumbufu mkubwa wa kiafya na kisaikolojia.

Chanzo; Global Publishers