Takribani watu zaidi ya 10 wameuawa katika mji mkuu wa Uganda, Kampala, huku polisi wakisema waliwapiga risasi watu waliowataja kuwa wahuni waliokuwa na mapanga.
Matokeo ya awali Bado yanaonyesha Rais Yoweri Museveni anaongoza kwa mbali, huku hali ya usalama ikiendelea kuwa tete katika baadhi ya maeneo ya jiji.
Chanzo; Cnn