Dkt. Suhail Anjum alikiri kumwacha mgonjwa akiwa na ganzi wakati wa upasuaji ili kufanya mapenzi na muuguzi katika chumba kingine katika Hospitali ya Tameside mnamo Septemba 2023.
Ingawa hakuna madhara yaliyompata mgonjwa, Dkt. Anjum alikubali kuwa kitendo chake kilikuwa kina kumuweka mgonjwa hatarini na alisema kuwa ni “aibu kubwa.”
Chanzo: Bbc Swahili