Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Ukame Waathiri Mamilioni Kenya

Hali ya ukame imewaacha zaidi ya watu milioni 2 wakikabiliwa na njaa katika sehemu za Kenya, huku jamii za wafugaji ng'ombe kaskazini mashariki mwa nchi hiyo zikiwa zimeathiriwa zaidi, hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa.

Katika wiki za hivi karibuni, picha za mifugo iliyodhoofika katika eneo kame karibu na mpaka wake na Somalia zimewashtua wengi katika eneo hilo ambalo linaathiriwa na athari za mabadiliko ya hali ya hewa.

Athari hizo zinatajwa kuenea hadi katika nchi za Somalia, Tanzania na hata Uganda, ambapo wengi wako hatarini kutokana na hali mbaya ya hewa na uhaba wa maji, Shirika la Afya Duniani lilisema mwishoni mwa Januari.

 

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: