Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Meli ya Tanzania Yakamatwa na Shehena la Cocaine

Meli ya FMS Eagle yenye usajili wa Tanzania yakamatwa El Salvador ikiwa na tani 6.6 za dawa za kulevya. Watu 10 kutoka Colombia, Nicaragua, Panama na Ecuador wakamatwa wakitarajiwa kufikishwa mahakamani.Haijaelezwa dawa hizo zilikuwa zikitoka wapi na kuelekea wapi. 

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: