Shirika la kimataifa la haki za binaadamu la Amnesty International limesema hii leoJumatatu (05.01.2026) kwamba vikosi vya usalama vya Uganda vimekuwa vikiwatesa na kuwakamata kiholela wapinzani kwa lengo la kuwatisha, kabla ya uchaguzi utakaofanyika Januari 15.
Shirika hilo limekusanya vithibitisho vya maafisa wa usalama kuwapiga na kutumia gesi ya kutoa machozi dhidi ya wafuasi wa chama cha upinzani cha National Unity Platform, NUP kinachoongozwa na Bobi Wine.
Chanzo; Dw