Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Netanyahu Apigwa Marufuku Slovenia

Shinikizo la kimataifa dhidi ya Israel inayoendesha vita vyake vinavyoelezwa na wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuwa mauaji ya kimbari kwenye Ukanda wa Gaza, linazidi kuongezeka.

Slovenia imetangaza marufuku kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuingia nchini humo, huku Uhispania na Italia zikitangaza kutuma meli za kijeshi kuulinda msafara wa misaada ya kibinaadamu inayoelekea Gaza na hapa Ulaya, waandaaji wa shindano mashuhuri la Eurovision wakiitisha kura ya wanachama kuamua juu ya hatima ya Israel kwenye shindano hilo wakati kukiwa na miito ya kuifukuza. Yote hayo yanajiri wakati ndani ya Gaza kwenyewe mauaji yakiendelea.

Chanzo: Dw

Kuhusiana na mada hii: