Watawa watoroka nyumba ya kulea wazee na kurudi katika nyumba yao ya zamani ya watawa
Sista Bernadette (88), Rita (81), na Regina (86) walitumia sehemu kubwa ya maisha yao katika nyumba ya watawa ya Kloster Goldenstein,kabla ya kuhamishiwa katika nyumba ya kulea wazee inayoendeshwa na kanisa 2023.
Hawakuridhika huko, walitoroka na kurejea kwenye nyumba yao ya zamani.
Chanzo; Bbc Swahili