Daraja jipya lililojengwa kusini magharibi mwa China limeporomoka sehemu.
Daraja hilo lenye urefu wa mita 758, linaunganisha China na Tibet, lilifungwa siku moja kabla ya tukio hilo baada ya nyufa kugunduliwa kwenye barabara na milima iliyo karibu, hali iliyosababisha maporomoko ya ardhi.
Kwa bahati nzuri, hakuna majeruhi walioripotiwa.
Chanzo; Global Publishers